Basi la abiria limetumbukia kwenye
bonde lenye mto kati kati ya Venezuela na kuuwa watu 11 na kujeruhi watu
wengine 36.
Ajali hiyo iliyosababishwa na dereva
kushindwa kumiliki gari katika jimbo la Aragua, kusini magharibi mwa Caracas.
Katika ajali hiyo dereva wa basi ni
miongoni mwa watu 11 waliokufa, huku majeruhi wakikimbizwa katika miji ya
karibu ya Maracay na La Victoria kwa ajili ya matibabu.
0 comments:
Post a Comment