Wachambuzi wanasema juhudi za kikundi cha Boko Haram cha Nigeria kutaka kuwa na umoja na kikundi cha Islamic State kwa sasa inatokana kama kukuza propaganda na kuonyesha kudhoofika kwake.
Hata hivyo wameonya kuwa katika muda mrefu wa miaka sita ijayo hatua hiyo itachangia zaidi kukuza kimataifa mgogoro wa sasa wa Nigeria.
Juhudi za kikundi hicho zinakuja wakati katika wiki za hivi karibuni makundi yote hayo ya itikadi kali yakipoteza nguvu kwenye uwanja wa mapambano na majirani wa Nigeria wakiunda kikosi cha pamoj a cha kijeshi cha kupambana na kikundi cha Boko Haram.
Hivi sasa majeshi ya Niger na Chad yamenza mashambulio makali ya anga na nchi kavu Kaskazini-Mashariki mwa Nigeria dhidi ya wapiganaji wa Boko Haram.
Home
News
Wachambuzi wa mambo wasema kuwa kuwa boko haram kutaka kuwa na umoja na Islamic State inatokana na propaganda
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment