Image
Image

Jaribio la kwanza la NDEGE inayotumia umeme jua lafanyika Abu Dhabi

Jaribio la k wanza la ndege inayotumia umeme- jua limefanyika baada ya ndege   hiyo kufanikiwa kuanza kuruka asubuhi ya leo.
Ndege hiyo iliruka saa 12 asubuhi saa za Afri ka Mashiriki ikianzia Abu Dhabi  na mabawa yake yamefunikwa na vifaa vya kunasia mionzi ya jua.

Betri zake zina uwezo wa kuhifadhi nguvu ya umeme kutoka kwenye j ua na hivyo  kuiweza kusafiri hata nyakati za usiku.


Marubani wawili wanaorusha ndege hiyo  BERTRAND PICCARD  na  ANDRE BORSCHBERG   watapita katika hatua kumi na mbili za safar i yao ya miezi mitano kuzunguka  dunia.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment