Mashirika
yasiyoyakiserikali yanayojihusisha na haki za wanawake na watoto wa kike nchini
Kenya yatafanya maandamano hii leo, kushinikiza mbunge anayedaiwa kumbaka mke
wa mtu akamatwe.
Shirikisho
la Asasi za Kiria Kenya limetaka kushtakiwa kwa mbunge wa jimbo la Imenti
Gideon Mwiti kwa kosa la kumbaka mwanamke huyo.
Mashirika
hayo yametoa wito kwa rais Uhuru Kenyatta, wabunge, Mkuu wa Jeshi la Polisi
pamoja na Mkurugenzi wa Mashtaka Kenya kuhakikisha uchunguzi wa kina unafanyika
kuhusina na tukio hilo la mbunge kubaka.
0 comments:
Post a Comment