Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda
kuifariji familia ya Marehemu Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita
Temeke Chang'ombe jijini Dar es salaam jioni ya leo April 27, 2015.
Marehemu anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumatano katika makaburi ya
Kisutu jijini Dar es salaam baada ya Swala ya Alasiri katika msikito wa
Mtoro, baada ya kupata heshima zote za kijeshi asubuhi yake katika makao
makuu ya Jeshi Upanga, Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia wakati Mama Salma Kikwete
akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kuifariji familia
ya Marehemu Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita Temeke Chang'ombe jijini Dar
es salaam jioni ya leo April 27, 2015.
Marehemu anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumatano katika makaburi ya
Kisutu jijini Dar es salaam baada ya Swala ya Alasiri katika msikito wa
Mtoro,
baada ya kupata heshima zote za kijeshi asubuhi yake katika makao
makuu ya Jeshi Upanga, Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma kikwete wakimsikiliza
mtoto wa Marehemu Bw. Iddi Mbita kuhusu taratibu za mazishi walipokwenda
kuifariji familia ya Marehemu Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita
Temeke Chang'ombe jijini Dar es salaam jioni ya leo April 27, 2015.
Marehemu anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumatano katika makaburi ya
Kisutu jijini Dar es salaam baada ya Swala ya Alasiri katika msikito wa
Mtoro,baada ya kupata heshima zote za kijeshi asubuhi yake katika makao
makuu ya Jeshi Upanga, Dar es salaam.
Rais Kikwete akiondoka msibani
Picha na IKULU
0 comments:
Post a Comment