Wananchi waliojitokeza kwa wingi wakiwa wanamsikiliza Mbunge wao akihutubia mkutano wa hadharakatika uwanja wa mazingira bora karatu mjini.
Mbunge wa jimbo
la Karatu mkoani Arusha mchungaji Israel Natse wa chama cha
demokrasia na maendeleo(CHADEMA) ambaye pia Mwenyekiti wa Kanda ya
Kaskazini akihutubia wananchi wake katika mkutano wa hadhara uliofanyika
uwanja wa mazingira bora karatu mjini jana,amewataka wananchi wa jimbo hilo
kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga
kura ambayo itawapa fursa ya kuwachagua viongozi wanaowataka katika
uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika ockoba mwaka huu. (Habari picha na
Jamiiblog).
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA.
0 comments:
Post a Comment