Mkurugenzi
wa mamlaka ya usafiri na nchi kavu na majini SUMATRA Gilliard Ngewe ameyasem ahayo
mkoani Morogoro wakati akizungumza na wakuu wa jeshi la polisi kitengo cha usalama
barabarani kutoka mikoa yote nchini pamoja
wa maofsa wa SUMATRA na maofsa wateule wa halimashauri ambapo amesema siku hadi
siku ajali za barabarani zimekuwa tishio na zinajenga hofu kwa abiria ambapo amezitaka mamlaka
husika kuhakikisha zinakuwa na mpango madhubuti kwa ajili ya kupambana na
ajali hizo vinginevyo hakuna haja ya kuw ana vitengo hivyo.
Mkuu wa kikosi cha usalama bara
barani Mohamed Mpinga akitoa taarifa kuhusu hali ya ajali
nchini anasema ajali
nyingi zimetokana na makosa
ya kibinadamu ambayo yamejumuhisha uzembe wa madereva matumizi mabovu ya
barabara ambapo amesema jeshi la polisi litaendelea kujipanga na kutumia mbinu
mbalimbali kuhakikisha ajali zinamalizika.
Katibu mkuu TAMISEMI Jumanne Sagini amesema SUMATRA na halmashauri nchini zimefnaya
makubalino kutizama upya matumzi ya pikipiki ambapo pamoja na kutoa huduma za
usafiri zinatumika vibaya
kwa matukio ya uhalifu.
0 comments:
Post a Comment