Katika ratiba hiyo uteuzi wa
wagombea Urais, Wabinge na Udiwani utafanyika Agosti 21 huku kampeni za
uchaguzi huo zikipangwa kuanza Agosti 22 hadi Octoba 24 ambapo tume hiyo
imepanga Octoba 25 mwaka huu iwe siku maalum ya kupiga kura katika uchaguzi huo
mkuu.
Hayo yamebainika katika taarifa kwa vyombo vya habari aliyoitoa mwenyekiti
wa tume hiyo ya taifa ya uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva.


0 comments:
Post a Comment