Baadhi ya wabunge waliochangia makadirio ya mapato
na matumizi ya wizara ya maendeleo ya mifugo na uvuvi wameitaka serikali
kubainisha maeneo ya mapori tengefu ambayo hayana wanyama ili wapewa wafugaji
au wakulima kulikokuacha maeneo ambayo hayana matumizi wakati migogoro
inaongezeka kila kukicha.
Home
News
News Alert: Wabunge waitaka serikali kubainisha maeneo ya mapori tengefu ambayo hayana wanyama ili wapewa wafugaji au wakulima.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


0 comments:
Post a Comment