Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Ma m bo ya Ndani ya nchi ,PERE IRA AME SILIMA alipokuwa akijibu swali la Mbunge
PHILIPA MTURANO aliyetaka
kujua mpaka sasa ni watu wangapi wanashikiliwa na kuthibitishwa na mahakama kuwa ndiyo
wauaji na imefanya nini.
Naibu Waziri amesema
Serikali kupitia jeshi la polisi imekuwa ikichukua
hatua za makusudi kukomesha mauaji hayo
ikiwa ni pamojaa na kuwasaka kuwakamata
na kuwafkisha mahakamani watuhumiwa
husika.
Amesema
mpaka sasa watu 15
wa muaji ya Albino wamekamatwa
na kufikishwa mahakamani na
kuhukumiwa kunyongwa hadi
kufa .
Aidha
serikali kupitia jeshi la
polisi kwa kutumia falsafa
ya polisi jamii
inafanya kila jitihada
ya kutoa elimu
kwa jamii ili kuweka ufahamu
juu ya madhara ya vitendo
vya mauaji vinavyofanywa na baadhi
ya watu
kwa msukumo wa imani
potofu.


0 comments:
Post a Comment