Niabu Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mheshimiwa PEREIRA AME SILIMA amesema hayo bungeni wakati
akijibu swali lililotaka kujua
idadi ya silaha zinazomikiwana kutumiwa
kihalali .
Mheshimiwa
SILIMA amesema silaha zilizopatikana na kuhifadhiwa katika
vituo va polisi wakati
wa operesheni hiyo ni pamoja
na shotgun kumi na sita, rifle tano,
bastola moja na magobore mia moja na
kumi na manne.
Uchunguzi wa
awali umebaini kuwa ni silaha
kumi na sita tu yaani rifle nne na shotgun kumi na mbili kati
ya silaha mia moja thelathini na sita zinamilikiwa
kihalali na silizosalia zinaendelea
kufanyiwa uchuguzi na
jeshi la polisi kuona kama
zinatumiwa katika matukio ya uhalifu.
0 comments:
Post a Comment