Maafisa na mashuhuda wanasema
kambi iliyoshambuliwa ni kitengo cha makomandoo wenye
ushirika na waasi wa kikundi cha Houthi ambach o washirika wamekuwa
wanajaribu kuharibu nguvu zake za
kijeshi.
Shambulio hilo lililolenga
pia ghala la silaha li liripotiwa baada ya mashambulio mengine ya anga katika jimbo la Hajjah
kaskazini mwa Yemen karibu na mpaka wa
Saudi Arabia.
Mashambulio yote yalitokea
wakati watu wen ye silaha wa kikundi cha Houthi
waliposhambulia sehemu za mpaka na Saudi Arabia.
0 comments:
Post a Comment