Prince Willium ambaye ni
shabiki wa mkubwa wa Aston Villa, anasema atakuwepo katika dimba la Wembley
kutazama mpambano huo huo pamoja na kukabidhi kombe kwa timu itakayoibuka
kidedea. " nina wasiwasi na hofu" alisema Prince.
Mwana huyo wa kifalme ambaye
ndiye rais wa chama cha soka cha Englan FA, pia ameiambia BBC juu ya matumaini
yake ya kuona wanawe wakifuata nyayo zake za kuwa mashabiki wa Aston Villa.
Ushabiki wa Prince William kwa timu hiyo, umeanza tokea akiwa shuleni kwakuwa
aliamini kuishabikia Aston Villa kungemfanya awe na hisia nzuri, japo
ametanabaisha kuwa marafiki zake walikuwa ni Mashabiki wa Manchester Utd na
Chelsea
0 comments:
Post a Comment