Image
Image

Raia 15 wa China wamefunguliwa mashitaka nchini Marekani kwa tuhuma za udanganyifu


Raia 15 wa China wamefunguliwa mashitaka nchini Marekani kwa tuhuma za udanganyifu wa matokeo na nyaraka za kitaaluma walizozitumia kujiunga na elimu ya juu nchini Marekani.
Kwa mjibu wa waendesha mashtaka nchini humo,wamebaini kuwa vijana hao wa China wamekuwa fanya udanganyifu wa kutumia simu wakati wa majaribio ya kujiunga na vyuo hivyo. Idara ya sheria nchini Marekani imesema kuwa kwa kipindi cha minne iliyopita wamekuwa wakikwepa mfumo halali wa uchaguzi wa majina ya chuo na badala yake kutumia majina bandia na pasi za kusafiria. Iwapo watakutwa na hatia kutokana na tuhuma hizo,raia hao wa China watafungwa hadi miaka 20 jela.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment