Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe. Abdelaziz Bouteflika katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Algiers Jumapili May 10, 2015 katika siku ya pili ya ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na waandishi wa habari baada ya kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Algiers Jumapili May 10, 2015 katika siku ya pili ya ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo.
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na
Rais wa Baraza la Nchi ya Algeria Mhe. Abdulkhader Bensalah akiwasili katika
ukumbi wa El-Mithak Residency jijini Algiers kwa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa
na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe. Abdelaziz Bouteflika
katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Algiers Jumapili May 10, 2015 katika siku ya
pili ya ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais
wa Baraza la Nchi ya Algeria Mhe. Abdulkhader Bensalah na viongozi wengine
wakipata picha ya kumbukumbu na kikundi cha utamaduni katika ukumbi wa
El-Mithak Residency jijini Algiers baada ya dhifa ya kitaifa
aliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe. Abdelaziz
Bouteflika katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Algiers Jumapili May 10, 2015
katika siku ya pili ya ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
mabalozi wa nchi za Kiafrika katika ukumbi wa El-Mithak Residency jijini
Algiers baada ya dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri
ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe. Abdelaziz Bouteflika katika Ikulu ya nchi hiyo
jijini Algiers Jumapili May 10, 2015 katika siku ya pili ya ziara yake rasmi ya
siku tatu nchini humo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Waziri Mkuu
wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe. Abdelmalik Sellal katika
kiunga cha Ikulu ya nchi hiyo cha Zeralda Jumapili May 10, 2015
katika siku ya pili ya ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa viongozi mbalimbali na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe. Abdelmalik Sellal katika kiunga cha Ikulu ya nchi hiyo cha Zeralda Jumapili May 10, 2015 katika siku ya pili ya ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe. Abdelmalik Sellal katika
kiunga cha Ikulu ya nchi hiyo cha Zeralda Jumapili May 10, 2015 katika
siku ya pili ya ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe. Abdelaziz Bouteflika katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Algiers Jumapili May 10, 2015 katika siku ya pili ya ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo.
0 comments:
Post a Comment