Rais FILIPE NYUSSI wa MSUMBIJI ameanza ziara yake
Kisiwani ZANZIBAR.
Akiwa Kisiwani ZANZIBAR – Rais NYUSI amekutana na kufanya mazungumzo ya Rais wa ZANZIBAR na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dakta ALI MOHAMED SHEIN.
Wakati wa mazungumzo hayo Dakta SHEIN amesema kuwa wakati umefika kwa ZANZIBAR na MSUMBIJI kubadilishana uzoefu na utalaamu katika sekta mbalimbali za kimaendeleo na kiuchumi.

0 comments:
Post a Comment