Uchaguzi huo unaendelea
katika kongamano la kila mwaka la shirikisho hilo licha ya shinikizo kutoka kwa
wadau Blatter ajiondoe kufuatia tuhuma za ufisadi na ulaji rushwa katika
shirikisho hilo uliopelekea maafisa wakuu saba kukamatwa mapema juma hili.
Blatter anakabiliwa na
upinzani mkali kutoka kwa mwanmfalme kutoka Jordan Ali Bin al Hussein.
0 comments:
Post a Comment