Image
Image

Balozi wa Tanzania nchini Kenya akutana na Rais Dk.Shein leo.





Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la  Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Kenya Mhe,John Michael Haule alipofika Kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar leo.




Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Kenya Mhe,John Michael Haule alipofika Kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar leo.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Balozi Mteule wa Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Nchini Kenya Mhe,John Michael Haule baada ya 
mazungumzo yao alipofika Kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar

leo,[Picha na Ikulu.]
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment