Uchaguzi wa Wabunge ungefanyika
kesho wakati ul e wa rais ungefanyika tarehe 26
mwezi huu,lakini kutokana na machafuko ya maandaman o na jaribio la
mapinduzi mwezi uliopita jumuiya ya
kimataifa ilitaka chaguzi zote ziahirishwe.
Kutokana na machafuko ya kupinga
Rais PIERRE NKURUN ZIZA kugombea muhula wa tatu na jaribio la mapinduzi, Jumuiya ya Afrika Mashariki ilitaka uchaguzi uahirishwe kwa wiki sita ili
kuleta mazingira ya kuwezesha ufanyike huru na kwa haki.
Wachambuzi wanasema inaelekea
Bwana NKURUNZIZA hatimaye amesalimu amri kufuatia shinikizo za kutaka chaguzi hizo zote zenye
utata ziaharishwe.
0 comments:
Post a Comment