Image
Image

Fahamu namna ya kutibu kikohozi kwa kutumia bizari.


Kikohozi ni moja ya ugonjwa unaowasumbua wengi hasa katika mwezi huu wa Juni, tatizo hili limekuwa likichangiwa sana na mabadiliko ya hewa au majira tuliyonayo kwa sasa.
Lengo la kukohoa ni kutoa chembechembe zisizohitajika katika njia ya kupitisha hewa na kwa kawaida kikohozi cha kawaida huweza kupona hata bila dawa ya aina yoyote.
Bizari

Pata kijiko kimoja cha unga wa bizari kisha weka ndani ya sukari na kanga kidogo, baada ya hapo ongeza maziwa nusu glasi, kisha endelea kupasha moto kwa muda wa dakika tatu.
Baada ya hapo epua mchanganyiko huo, kisha weka ndani ya kikombe na uongeze asali kijiko kimoja cha chai kisha kunywa.
Inaelezwa kuwa tiba hii ifanyike mara tatu kwa siku kwa muda wa siku tatu.
Asali.
Tumia asali kijiko cha mezani mara tatu kwa siku, asubuhi, mchana na usiku kwa muda wa siku tatu hadi saba.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment