Limetoa mfano wa kesi
inayoendelea mjini Khartoum ya wachungaji wawili ambayo imeleta hofu ya kihistoria ya jinsi makundi ya watu wachache
yanavyotendewa Sudan.
Wachungaji hao wameshtakiwa kwa
makosa kadhaa yakiwemo ya kuhuju mu katiba ya nchi, kufanya vita dhidi ya dola na ujasusi makosa ambayo adhabu
yake ni kifo.
Kesi hiyo imezua tuhuma kutoka
makundi ya Kikristo ya ndani na nje na
wanaharakati wengine kwamba wachungaji
hao walikuwa wanateswa kwa sababu ya imani yao.
0 comments:
Post a Comment