Gatlin mwenye umri wa miaka 33 aliwaongoza wenzake
na kushinda kwa sekunde 9.75 ikiwa ni mda bora wa saba kuwekwa katika historia
na hivyobasi kuipiku rekodi ya Bolt ya sekunde 9.76 iliowekwa mwaka wa 2012.
Gatlin ambaye amehudumia marufuku ya kutumia dawa za
kusisimua misuli alikimbia mda wa sekunde 9.74 katika mkutano wa kwanza wa mbio
za Diamond League mwezi uliopita.
Bingwa wa mbio za Olimpiki Sally Pearson alipata
jeraha la kifundo cha mkono baada ya kuanguka katika mbio za kuruka viunzi za
mita 100 upande wa wanawake.
0 comments:
Post a Comment