Hatahivyo Liverpool imesema kuwa haiko tayari
kufanya biashara na wapinzani wao wakuu kutoka Kaskazini Magharibi.
Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Luois Van
Gaal anavutiwa na kasi ya mchezaji huyo na uwezo wake wa kuwaponyoka mabeki.
Sterling amekataa ombi la kitita cha pauni laki moja
kutoka kwa Liverpool akisema kuwa anataka kuondoka na kukichezea kilabu ambacho
kina uwezo wa kushinda mataji.
0 comments:
Post a Comment