Jukwaa la dunia kuhusu
ulimwengu wa mawasiliano lilifunga pazia lake hivi karibuni huko Geneva, Uswisi
ambapo wajumbe wa nchi shiriki walipata fursa ya kujifunza mengi ili
kuhakikisha maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano yanakuwa na
faida badala ya kugeuka shubiri kwa watumiaji. Miongoni mwa washiriki ni
Innocent Mungy, Meneja mawasiliano wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania, TCRA
ambaye alimweleza Assumpta Massoi wa idhaa hii katika mahojiano ya njia ya simu
kutoka Geneva, kuwa jukwaa lilikuwa kisima cha mafunzo.
Je amesema nini, fuatana nao katika mahojiano
haya, akianza kwa kujibu maana ya kuongezeka kwa watumiaji wa intaneti duniani
ambao mwishoni mwa mwaka huu itafikia Bilioni 3.2.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment