Viongozi wawili wa juu katika ulinzi wa Marekani
wamesema, hakuna uwezekano kwa Marekani kusajili wanajeshi wapatao 24,000
nchini Iraq mwaka huu.
Katibu mkuu wa ulinzi wa Marekani Ash Carter, na
Mwenyekiti wa umoja wa wafanyakazi, Jenerali Martin Dempsey, wamesema programu
za mafunzo zilizotolewa na Marekani bado hazijaweza kuwavutia wengi kama
ilivyotarajiwa.
Hata hivyo wamesisitiza watu zaidi kujiunga kwaajili
ya mafunzo ya kijeshi, ili hatimaye waweze kushinda vita dhidi ya Wanamgambo wa
Islmamic State. .
0 comments:
Post a Comment