Tukio hilo lilitokea katika Uwanja wa Sheikh
Amri Abeid Jumamosi iliyopita, wakati Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa
alipokuwa akitangaza nia yake ya kugombea urais.
Katika shoo yao hiyo iliyochengua mashabiki,
Diamond alisimamia upande wa mapenzi pesa, wakati Ney alisimama upande wa
mapenzi ujuzi.
Ney yeye akaamua kuuliza mashabiki wangapi
wanasema mapenzi pesa na wangapi wanadai mapenzi ujuzi, ndipo umati wa
mashabiki wao walipolipuka kwa kelele kwamba mapenzi pesa huku wakibeza kwamba
ujuzi upelekwe Chuo cha Ufundi ‘Veta’.
0 comments:
Post a Comment