Polisi nchini Marekani wanamsaka mtu alihusika katika shambulio katika Kanisa la Methodist.
Habari ambazo bado hazijathibitishwa kutoka vyombo vya habari vya eneo hilo zinasema kumekuwepo na vifo kadha.
Polisi huko Charleston wanasema mtuhumiwa ni mzungu mmoja akiwa katika umri wa miaka ya ishirini.
Shambulio hilo limefanyika katika Kanisa la Emanuel African Methodist Episcopal Church, moja ya makanisa kongwe ya Waafrika Wamarekani nchini Marekani.
0 comments:
Post a Comment