Image
Image

News Alert:Serikali kuvifungia vyuo vya ST.JOSEPH na KAMPALA.


Sakata la migogoro ya vyuo vikuu vinavyodaiwa kutokuwa na usajili kikiwemo cha ST JOSEPH NA KAMPALA  limeibuka tena bungeni ambapo baadhi ya wabunge wameitaka serikali kuvifungia  kwani licha ya kuwapotezea muda wanafunzi vinawatia hasara wazazi na serikali inayotoa mikopo kwa wanafunzi hao.

Hayo yameibuka bungeni mjini dodoma wakati wa kipindi cha maswali na majibu ambapo baadhi ya wabunge wameihoji serikali kwa nini inaendelea kuviachia vyuo ambavyo havijakidhi viwango kuendelea kudahili wanafunzi, na hapa naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Mh.Janester Muhagama akatoa majibu.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment