Stafeli ni tunda ambalo hupatikana katika mikoa ya Tanga, Iringa, Mbeya,
Morogoro na baadhi ya maeneo katika jiji la Dar es Salaam.
Tunda hili linaelezwa kuwa na uwezo wa kutibu magonjwa mbalimbali ikiwamo saratani.
Kwa
mujibu wa Jarida la Kemia na madawa la nchini Marekani la mwaka 2010
linaeleza kuwa tunda hili la Stafeli au Mtopetope kuwa lina uwezo wa
kuangamiza chembe hai zenye saratani pasipo kusaleta madhara katika
mwili.
Taasisi ya utafiti wa Saratani ya Nchini Uingereza
(NIR) ilifanya utafiti wa kwanza kuhusu maajabu ya stafeli mwaka 1976
na kubaini kuwa majani, mizizi na tunda la stafeli, vyote vina uwezo wa
kutibu saratani.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment