Leo nakufahamisha haya magonjwa matano yanayoweza kutibiwa kwa kutumia asali.
Mafua.
Unatakiwa kuwa na asali kijiko kimoja cha chakula pamoja na unga wa mdalasini fanya uwe mchanganyiko mmoja kisha tumia ugonjwa huo utakuwa umekwisha na utajisikia vizuri sana.
Tatizo la kuuma kwa viungo (arthritis)
Uwe na maji ya uvuguvugu kiasi,kisha changanya na unga wa mdalasini kijiko cha chai na asali vijiko viwili vya chakula changanya pamoja kisha tumia mchanganyiko huo kuchua sehemu zenye maumivu.
Matatizo ya tumbo.
Tumia asali kwa kuondoa matatizo ya mchafuko wa tumbo au kichefuchefu. Unachopaswa kufanya ni kuweka kiasi kidogo cha mdalasini na asali kisha tumia.
Tiba pale unapooumwa na wadudu.
Changanya asali na mdalasini kisaha pake sehemu uliyoumwa na mdudu rudia mara kwa amra hadi uvimbe utakapo isha.
0 comments:
Post a Comment