Mashambulizi hayo ya mabomu yamewalenga waumini wa
Shia waliokuwa katika ibada yao ya jioni, na Ofisi ambayo yanatumiwa na kikundi
cha waasi wa Houthi.
Wanamgambo wa Islamic State wamekiri kuhusika na
milipuko hiyo na kudai kuwa ni hatua yao ya kulipa kisasi dhidi ya Houthi,
walioteka jimbo la Yemen na milki zake.
Kwa sasa mazungumzo yanaendelea huko Geneva kati ya
waasi na Serikali,huku maofisa wa umoja wa mataifa wakijaribu kusuluhisha pande
hizo mbili ili kusitisha mapigano.
0 comments:
Post a Comment