Image
Image

Askari wanne wauawa katika shambulio katika jimbo la Tennessee.


Askari wanne wauawa katika mashambulizi mawili yaliotekelezwa dhidi ya vituo viwili vya jeshi Chattanooga katika jimbo la Tennessee kusini mwa Marekani.
Mashambulizi hayo yalitokea Alkhamis ambapo askari hoa hawakuwa na budi ya kujihami.
Mtuhumiwa wa mashambulizi hayo aliuawa baada ya kukabiliana na Polisi.
taarifa zinafahamisha kuwa watu kadha walijeruhiwa katika mashambulizi hayo.
Afisa wa idara ya FBIEd Reinhold anahusika na uchunguzi wa mashambulio hayo alifahamisha kuwa mtuhumiwa alivamia kituo vituo vya kusajili watu wanaojiunga na jeshi la Marekani.
Mohammed Yusuf Abdul Aziz mwenye umri wa miaka 24 na mwenye asili ya Koweit ndie alieendesha mashambulizi hayo.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment