Image
Image

Baada ya Alicia Keys,Staa mwingine wa rnb kapewa dili la Ubalozi wa Jeans

Baada ya Alicia Keys kuwa balozi wa jeans za Levi New York & Company zimempa dili la ubalozi wa Jeans Acadamy Award winner Jennifer Hudson kuwa balozi wa jeans zao za Soho Jeans Collection.
Jeans hizi zilianza kutengenezwa toka miaka ya sabini  na zitapatikana kuanzia July 22 kwa dola 70 ambayo ni kama 180000 za bongo.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment