Image
Image

Chris Brown ameanza kumpigania mtoto wake Royalty

Staa wa Rnb Chris Brown ameanza kumpigania mtoto wake Royalty na hatua ya kwanza aliyochukua ni kufungua kesi ya kuwa na haki zote za mtoto huyu kama mzazi wake.
Chanzo cha hari hizi kimesema mama wa mtoto huyu amekuwa Nia Guzman amekuwa akidai pesa nyingi kutoka kwa Chris Brown za malezi ya mtoto wake. Chris akipewa haki hizo atakuwa na uwezo wa kukata kulipa pesa anazotaka mwana dada Nia.
Chris kwa sasa anamlipa Nia dola $2,500 kwa mwezi ila anataka dola $15,000. Chris anataka jaji atoe tamko la mweisho juu ya kiasi gani anafaa kupewa Nia.
Pia Chris anataka nafasi ya kumuona mtoto wake kila anapotaka tofauti na sasa.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment