Image
Image

Depay apiga bao marekani, mata, perreira nao wang'ara man united ikishinda 3-1.


Manchester United imeshinda kwa mabao 3-1 katika mechi yake ya kirafiki dhidi ya San Jose Earthquakes ya nchini Marekani.

Kiungo wake mpya, Memphis Depay amekuwa kati ya waliofunga mabao huku Wahispania Juan Mata na Herreira kila mmoja akitupia bao.

Manchester United first-Half (4-3-3): Johnstone, Darmian, Jones, Blind, Shaw, Carrick, Schneiderlin, Young, Mata, Memphis, Rooney

Second-half (4-3-3): Johnstone, McNair, Smalling, Evans, Blackett, Lingard, Schweinsteiger, Herrera, Pereira, Januzaj, Wilson

Scorers: Mata 32; Depay 37; Pereira 61

San Jose Earthquakes: Bingham, Wynne (Koval 46), Bernardez (Silva 62), Goodson (Renato 46), Stewart (Francis 46), Alashe, Pierazzi (Pelosi 46), Garcia (Coutadeur 46), Cato (Thompson 46), Salinas (Barrera 46), Amarikwa (Sherrod 46, Jahn 71)

Scorer: Alashe 42

Referee: Juan Guzman

Attendance: 18,000 .



Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment