Image
Image

Haya ndio majibu ya Kambi rasmi ya upinzani baada ya Spika kuahirisha BUNGE.


Baada ya Spika wa Bunge kuahirisha bunge kutokana na wabunge wa kambi ya upinzani kugomea miswada mitatu ya sheria ya Petroli,sheria ya usimamizi wa mapato ya Mafuta na Gesi,uwazi na uwajibikaji katika tasnia ya uchimbaji Tanzania msemaji wa kambi ya upinzani na waziri wa nishati na madini wametolea ufafanuzi suala hilo nje ya ukumbi wa bunge.

Kufutia hali hiyo afisa habari wa bunge Owen Mwandumbya naye ametoa ratiba kikao cha bunge kitakachoendelea baade ambapo kwa mujibu taarifa yake muswada huo kwa leo hautajadiliwa tena kama anavyoeleza.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment