Hayo
yamesemwa na mwenyekiti wa tume hiyo Jaji Mstaafu Damian Lubuva na
kuongeza kuwa kila kituo kitakuwa na BVR kits mbili na zitaendelea
kuongezwa kwa kadri ongezeko la watu wanaostahili kuandikishwa kwenye
kituo husika.
Aidha Jaji Lubuva amewataka wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kjwa tika Daftari hilo kwa mujibu wa sheria ili aweze kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.
Ameongeza kuwa vituo vitafunguliwa kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa 12 na mbili jioni huku akisema kuwa kituo kitatoa kipaumbele kwa wanawake wajawazito, wazee na wenye ulemavu wa aina mbalimbali.

0 comments:
Post a Comment