Image
Image

Matunda na mboga mboga kupambana dhidi ya maradhi.


Karoti, viazi mbatata, bilinganya na asali ni vyakula ambavyo vinawingi wa madini ya Karotinoidi.
Daktari Çağatay Erden Daphan mkurungenzi katika kitengo cha upasuaji katika chuo kikuu cha Kirikkali nchini Uturuki amefahamisha kuwa utumkiaji wa matunda na mboga za majani ni lishe muhimu kwa binadamu na kutunza afya.
Taarifa kuhusu lishe bora zinafahamisha kuwa, matumizi ya matunda na mboga mboga huzuia saratani ya maziwa kwa wanawake.
Daktari Daphan alizidi kufahamisha kuwa ulaji wa matunda na mboga mboga unaweza kuzuia maradhi mengine kama vile saratani ya matumbo na ut iwa mgongo.

 

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment