Image
Image

Mke wa Producer Timbaland aomba talaka.

Mke wa producer wa muziki Timbaland ameomba talaka yake kwa mara yapili. Monique Mosley ameomba kupewa talaka yake June 22 mjini Florida ila mpaka sasa Timbaland hajatoa kauli yeyote kuhusu swala hili.
Monique Mosley alitaka talaka yake kutoka kwa mume wake Timbaland toka mwaka 2013. Vitu vingine alivyotaka mke wake ni pamoja na pesa za malezi ya watoto wawili wa Timbaland, Malipo ya ada za shule, life insurance,vacations.
October 2014 Timbaaland na mke wake walipata na kurudiana a mke wake alifuta ombi lake la kutaka talaka.
Timbaland Ni Executive producer wa kipindi cha FOX ‘Empire’ na thamani yake ni dola milioni 85.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment