Kufuatia taarifa ambazo zimekuwa zikisambaa Kwenye mitandao
ya kijamii kuwa Chama cha wananchi CUF Kimejitoa Ukawa hatimaye Chama hicho cha
CUF kimesema kuwa hakijajitoa UKAWA bado kipo na wanaendelea na taratibu zingine
za namna ya kuweza kumsimamisha mgombea atakayekuwa anakubalika na Mpeperusha
Bendera ya Ukawa katika ngazi ya Urais kwenye Uchaguzi Mkuu wa Octoba mwaka
huu.
Naibu Katibu wa Mkuu wa CUF Magdalena Sakaya amesema vikao
vya kikatiba vya chama vinaendelea na wanashughulikia Majimbo mapya 26,hivyo
wananchi wasiwe na wasiwasi kwani dhamira yao nikuweka mambo sawa.
Aidha Ukawa hadi usiku wa jana katika moja ya kikao chao walichokuwa wamekaa kwenye COLLOSEUM HOTEL kilitoka na majibu kuwa washampata mgombea Urais hivyo watamweka wazi baada ya siku saba.>>>Bofya Hapa Kuona wanacho kisema wadau hawa,Pia usisahau ku Like ukurasa wetu hapo juu**.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment