Image
Image

Mshambuliaji Wayne Rooney kuongozi wa safu ya ushambuliaji Manchester United.


Mshambuliaji Wayne Rooney ndiye atakuwa kiongozi wa safu ya washambuliaji ndani ya klabu ya Manchester United akishirikiana na Javier Hernandes Chicharito, James Wilson na mshambuliaji wao mpya Memphis Depay aliyesajiliwa kutoka klabu ya PSV Eindhoven ya Uholanzi.
Licha ya klabu hiyo kuwauza washambuliaji wake Robin Van Persie na Radamel Falcao Kocha Mkuu wa klabu hiyo Louis Van Gaal amesema hana mpango wa kuongeza mshambuliaji mwingine kwani kikosi chake kiko kamili.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment