Mata anaamini timu yake ya Machester safari hii
itashiriki kwenye michuano hiyo kwani ni lazima ishinde katika mchezo wa
mtoano.
“Kila siku za jumanne na jumatano nikuwa na
waalika washkaji zangu David De Gea na Ander Herrera kucheck game za Uefa, basi
ilikuwa inatuumiza sana kwani hata sisi tulitamani kushiriki”, alisema Mata.
Licha ya klabu ya Manchester kushika nafasi ya
nne msimamo wa ligi kuu, ila haitaweza kushiriki michuano ya Uefa kama
ikitolewa kwenye mchezo wa mtoano, ambapo itacheza na klabu ya Fenerbahce ya
Uturuki.
0 comments:
Post a Comment