Image
Image

Mtoto wa Muammar Gaddafi ahaukumiwa adhabu ya kifo na mahakama Libya.


Mtoto wa rais wa zamani wa Libya Muammar Gaddafi, Seif al-Islam amehukumiwa adhabu ya kifo na mahakama ncbhini Libya.

Seif al-Islam amehukimiwa adhabu ya kifo na washtakiwa wengine wanane.
Seif amefungwa katika gereza ambalo linamilikiwa na waasi Zintan.
Mahakama imemuhukumu kifo kufuatia mauaji ya waandamanaji mwaka 2011 yaliopelekea rais Gaddafi kuondolewa madarakani na kuuawa.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment