Image
Image

Nigeria yakubali kuwa kama kituo kikuu cha kudhibiti maradhi katika kanda ya Afrika Magharibi.


Nchi ya Nigeria imejitolea kuwa kama kituo kikuu cha ECOWAS cha kudhibiti maradhi kwa ajili ya mataifa ya Afrika Magharibi
Wizara ya Afya ya Nigeria ilitoa maelezo hayo siku ya Jumatano na kusema kwamba serikali ya Nigeria iko tayari kushughulikia suala hilo.
Maelezo zaidi yaliarifu kwamba kituo kikuu cha Afya kitasaidia kuboresha sekta za afya katika kanda hiyo.
Nigeria ilipendekezwa kuchukua jukumu hilo kutokana na juhudi zake katika mapambano dhidi ya virusi vya Ebola.
Wizara ya Afya ya Nigeria pia imearifu kwamba itasaidia kufunguliwa kwa vituo vya afya katika mataifa ya ECOWAS ili kurahisisha shughuli za kupambana na maradhi mbalimbali.
Baraza la AU pia liliidhinisha rasmi uamuzi huo kuitambua Nigeria kuwa kama kituo kikuu cha kudhibiti maradhi Afrika Magharibi.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment