Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ametoa wito wa umoja na mshikamano
katika hafla ya iftar ilioandaliwa katika ukumbi wa Huber jijini Istanbul.
Takriban wasanii
na wanmeshezo 91 waliharifiwa katika hafla hiyo.
Rais Erdogan alifahamisha kuwa umoja na mshikamano
nchini Uturuki ni mfano bora katika mataifa ambayo
watu wanadhulumiwa haki zao.
Rais Erdogan alimalizia akisema kuwa Uturuki ni taifa la waturuki, wakurdi, walazi,
wasiskasiani, wageorgia, abazina na wengineo.
0 comments:
Post a Comment