Mazungumzo ya nyuklia yalioanza tangu Novemba 2013, na nchi za P5 (Marekani,Urusi, Uingereza,
Ufaransa, China + Ujerumani) kumaliza mkataba wao.
Kwa mujibu wa
taarifa kutoka vyanzo vya Umoja wa Ulaya, wahudumu wa Iran na nchi nyingine,
pande zote mbili watakutana kwa mara ya mwisho leo mjini Vienna.
katika mkutano
huo wanatarajia kutoa tamko lao kwa pamoja.
katika
makubaliano yao,iwapo İran itavutilia mbali mpango wake wa nyuklia,itafutiwa
vikwazo vilivyowekwa na umoja wa mataifa.
0 comments:
Post a Comment