Image
Image

Rais wa Marekani Barack Obama, amewapunguzia hukumu ya kifungo cha gerezanimahabusu 46 waliofungwa kwa takriban miaka 20 nchini humo.


Mahabusu hao wanatarajiwa kuachiliwa huru mwezi Novemba mwaka huu.

Obama ambaye amewahi kuwaachiliwa huru mahabusu 89 hadi kufikia sasa, pia ameweza kupunguza hukumu ya kifungo kwa mahabusu 46 waliokuwa gerezani kwa kesi za ulanguzi wa madawa ya kulevya.

Akibainisha umuhimu wa mahabusu hao kupewa nafasi nyingine, Obama aliarifu kwamba hukumu walizopoewa kuwa ni nzito zikilinganishwa na makosa waliyoyafanya.

Obama aliandika barua na kuzituma kwa kila mfungwa ili kuwafahamisha matarajio aliyokuwa nayo kutoka kwao.

Uamuzi huo unaarifiwa kutathminiwa na kuonekana kuwa kama ishara ya mabadiliko ya mfumo wa sheria Marekani.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment