Image
Image

Rihanna atajwa kuwa ndiye mwanamuziki anayeuza zaidi nyimbo mtandaoni kuliko msanii yoyote.


Record Industry Association of America (RIAA), wamemtaja mkali wa muziki duniani anayetokea Barbados, Robin Fent “Rihanna” kama ndiye mwanamuziki anayeuza zaidi mtandaoni wa muda wote (all time).
Rihanna ametajwa kufanya vizuri zaidi kupitia mitandao kama Itunes, ambao ulianzishwa mwaka 2003 na kwa mujibu wa utafiti huo Rihanna anaongoza kwa kuuza nyimbo zake zaidi kuliko msanii mwingine yeyote Yule.
Taarifa zinasanua kuwa mpaka sasa Rih Rih, ameuza “mikwaju” mara milioni 100 na upande wa Album ni milioni 7.5.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment