Image
Image

Mahakama yamuachia kwa dhamana ya dola milioni 2 Rick Ross.

Rapa Rick Ross ameachiwa huru baada ya kuweka dhamana ya dola milioni 2 na mahakama kukubali mtuhumiwa atoke kwa dhamani hio.
Rick Ross alikamatwa June 24 kwa kosa la kuteka na kushambulia mtu na kumsababishia majeraha mwilini.
Rozay ameweka Dola milioni moja kupitia nyumba yake aliyonunua kutoka kwa Evander Holyfield, dola laki tano kutoka kwa mdhamini wake  $500,000 na dola $500,000 kutoka kwake kwa pesa taslimu.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment