Image
Image

Runtown akamilisha video yake na Wiz Kid, collabo na staa wa Marekani.

Mwimbaji wa muziki kutoka Nigeria Runtown amekamilisha utengenezwaji wa video yake na Wizkid ‘Bend down pause.’
Video imefanyika Marekani mjini California na kuongozwa na director kutoka Jamaican anayetengeneza filamu Jay Will.  Runtown akiwa Marekani amethibitisha kufanya collaboration na DJ Khaled.
Wiz Kid kwa sasa anatesa na mafanikio ya wimbo wa Ojuelegba remix uliofanywa na rapa Drake, ulisikika kwa mara ya kwanza kwenye tovuti ya Apple Music.
Skepta ambaye ni rafiki na shabiki wa Wiz Kid alimsikilizisha Drake wimbo huo na Drake kuufanyia remix.
**Ukiwa Rafiki Na Shabiki Wangu,Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori Zote Kutoka Kwangu**


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment